Sauli Niinistö

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sauli Väinämö Niinistö (amezaliwa 24 Agosti 1948) ni mwanasiasa wa Kifini na Rais wa 12 wa Finland, madarakani tangu mwaka 2012.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sauli Niinistö kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.