Domitian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaizari Domitian

Titus Flavius Domitianus (24 Oktoba 5118 Septemba 96) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 14 Septemba, 81 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake Titus.

Domitiano aliimarisha utaratibu wa Dola. Alijitahidi kutafuta maafisa wenye uwezo nje ya familia ya wakubwa wa Senati hivyo alikuta upinzani aliokandamiza vikali.

Alijitahidi kuimarisha pia dini ya Kiroma na wakati wa mwisho wa utawala wake ulikuwa na mateso kwa Wayahudi na Wakristo waliokataa kuabudu miungu ya Roma.

Vitabu vya Ufunuo wa Yohane pamoja na waraka wa kwanza wa Klementi viliandikwa wakati ule.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

She-wolf suckles Romulus and Remus.jpg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Domitian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.