Kaizari Titus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Titus

Titus Flavius Vespasianus (30 Desemba 3913 Septemba 81) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 24 Juni 79 hadi kifo chake.

Alimfuata baba yake, Vespasian. Kabla hajawa Kaizari, alikuwa jemadari hodari; k.m. alivamia mji wa Yerusalemu mwaka wa 70 na kubomoa hekalu lake ingawa hakukusudia kufanya hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Titus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.