Nenda kwa yaliyomo

Francisco de Goya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Francisco Goya)
Mei tatu 1808: Mauaji ya Watetezi wa Madrid, 1814, 266 х 345 cm. Museo del Prado, Madrid.

Francisco de Goya y Lucentes (30 Machi 1746 - 30 Aprili 1828) alikuwa mchoraji nchini Hispania. Aliweza kuchora kwa mitindo mbalimbali akisifiwa kwa kuwa kati ya wachoraji wakubwa wa mtindo wa kale lakini pia kuwako kati ya wachoraji wa kwanza wa wakati wa kisasa.

Mifano ya taswira zake

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francisco de Goya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.