Nenda kwa yaliyomo

J. Robert Oppenheimer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
J. Robert Oppenheimer
J. Robert Oppenheimer

Julius Robert Oppenheimer (New York City, Aprili 22, 1904 - Princeton, New Jersey, Februari 18, 1967) alikuwa mwanafizikia wa Marekani mwenye asili ya Uyahudi.

Anajulikana kama mkurugenzi wa kisayansi wa Mradi wa Manhattan.

Katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia, mradi ulijenga silaha za kwanza za nyuklia. Ndiyo maana Oppenheimer inaitwa "baba wa bomu la nyuklia".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu J. Robert Oppenheimer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.