Kharkiv
Mandhari
Kharkiv (jina la Kiukraine; kwa Kirusi: Ха́рьков, Kharkov) ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine. Iko kaskazini mwa Ukraine. Ni mji wa elimu, taasisi za kisayansi, viwanda vingi na kitovu cha njia za usafiri.
Mji ulianzishwa mwaka 1655. Idadi ya wakazi ilikuwa 1,449,000 mwaka 2010.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]Angalia mengine kuhusu Kharkiv kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Citynet UA Ilihifadhiwa 10 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine. — Official website of Kharkiv City Information Centre (Kiingereza)/(Kiukraine)
- Misto Kharkiv Ilihifadhiwa 14 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine. — Official website of Kharkiv City Council (Kiingereza)/(Kiukraine)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kharkiv kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |