Kiukraine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kiukraina
Kinazungumzwa nchini: Ukraine, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarus, Ureno, Slovakia, Argentina, Kyrgyzstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia, Brazil
Waongeaji: Milioni 39
Daraja: 25
Lugha rasmi:
Nchi: Ukraine
Uainishaji wa kiisimu:
Slavic europe.png
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Mashariki
         Kiukraine
Uenezi wa Kiukraina duniani.

Kiukraine (kwa Kiukraine: українська (мова), ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki. Lugha hii ni moja kati ya familia ya Lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kiukraine ni lugha ya pili inayozungumzwa sana katika orodha ya lugha za Kislavoni. Ni lugha rasmi nchini Ukraine. Kuna waongeaji milioni 37 wanaongea lugha hii nchini Ukraine.

Wengi wao ni wenyeji wa lugha hii. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni 47 wanaoongea lugha hii.

Lugha ya Kiukraine huandikwa kwa herufi za Kikyrili.

Alfabeti[hariri | hariri chanzo]

Alfabeti ya Kiukraine kwa tafsiri ya maelezo kuelekea Kijerumani:

Groß (HTML-Entity) Klein (HTML-Entity) wissenschaftliche
Transliteration
deutsche
Transkription
А (А) а (а) A a A a
Б (Б) б (б) B b B b
В (В) в (в) V v W w
Г (Г) г (г) H h H h
Ґ (Ґ) ґ (ґ) G g G g
Д (Д) д (д) D d D d
Е (Е) е (е) E e E e
Є (Є) є (є) Je je Je je
Ж (Ж) ж (ж) Ž ž Sch (Sh) sch (sh)
З (З) з (з) Z z S s
И (И) и (и) Y y Y y
І (І) і (і) I i I i
Ї (Ї) ї (ї) Ji ji Ji ji
Й (Й) й (й) J j 1 J j
К (К) к (к) K k K k (statt ks auch x)
Л (Л) л (л) L l L l
М (М) м (м) M m M m
Н (Н) н (н) N n N n
О (О) о (о) O o O o
П (П) п (п) P p P p
Р (Р) р (р) R r R r
С (С) с (с) S s S s (zwischen Vokalen auch ss)
Т (Т) т (т) T t T t
У (У) у (у) U u U u
Ф (Ф) ф (ф) F f F f
Х (Х) х (х) Ch ch Ch ch
Ц (Ц) ц (ц) C c Z z
Ч (Ч) ч (ч) Č č Tsch tsch
Ш (Ш) ш (ш) Š š Sch sch
Щ (Щ) щ (щ) Šč šč Schtsch schtsch (Stsch stsch)
ь (ь) ’ bzw. j 2 (Weichheitszeichen) (–) bzw. j
Ю (Ю) ю (ю) Ju Ju Ju ju
Я (Я) я (я) Ja ja Ja ja
’ (apostrophe)3 (–)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukraine kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.