Kioriya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kioriya ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waoriya. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kioriya imehesabiwa kuwa watu 32,100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kioriya iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioriya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.