Nenda kwa yaliyomo

Hyderabad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moja ya sehemu za mjini Hyderabad
Charminar katika Hyderabad

Hyderabad (Telugu: హైదరాబాద్ ) ni mji mkuu wa jimbo la Andhra Pradesh nchini India. Huu ni miongoni mwa miji mikuu nchini ikiwa na eneo la square kilometre 650 (sq mi 250).[1] Jiji lina jumla ya wakazi wapatao 6,809,970 na wengineo zaidi ya 7,749,334 wanaoishi katika maeneo ya mji mkuu, na kuifanya Hyderabad kuwa mji wa nne duniani kwa wingi wa watu na mji wa sita kwa idadi ya wakazi wengi nchini India.[2]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Greater Hyderabad Municipal Corporation". GHMC. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 17 Agosti 2011.
  2. "Urban Agglomerations/Cities having population 1 lakh and above" (PDF). Censusindia. The Registrar General & Census Commissioner, India. Iliwekwa mnamo 17 Oktoba 2011.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hyderabad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.