Harold Pinter

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harold Pinter (1962)

Harold Pinter (amezaliwa 10 Oktoba 1930 - 24 Desemba 2008) ni mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Uingereza. Mwaka wa 2005 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harold Pinter kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.