Nenda kwa yaliyomo

Drakensberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
safu za milima ya drakensberg
Karibu na Tugela Falls – Mto Tugela bondeni.
Little Saddle.

Drakensberg (kwa Kizulu uKhahlamba, kwa Kisotho Maluti) ni safu ya milima kunjamano huko Afrika Kusini na Lesotho (Afrika).

Urefu wake unafikia hadi mita 3,482 juu ya usawa wa bahari.

Safu hili ni sehemu ya ukanda wa kunjamano wa rasi katika Afrika Kusini.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]