Ukanda wa kunjamano wa rasi
Mandhari
Ukanda wa kunjamano wa rasi (kwa Kiingereza: Cape Fold Belt) ni eneo la milima katika majimbo ya Rasi ya Magharibi na Rasi ya Mashariki nchini Afrika Kusini.
Eneo hili linafanywa na mfululizo wa milima kunjamano inayofunika sehemu kubwa za kusini-magharibi za Afrika Kusini.
Sehemu yake inayojulikana zaidi ni milima ya Drakensberg yenye miinuko hadi mita 3,482 juu ya usawa wa bahari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ukanda wa kunjamano wa rasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |