Port Elizabeth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Gqeberha.


Jiji la Gqeberha
Jiji la Gqeberha is located in Afrika Kusini
Jiji la Gqeberha
Jiji la Gqeberha

Mahali pa mji wa Gqeberha katika Afrika Kusini

Majiranukta: 33°57′36″S 25°35′24″E / 33.96000°S 25.59000°E / -33.96000; 25.59000
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Rasi ya Mashariki
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 967,677
Tovuti:  www.portelizabeth.co.za

Port Elizabeth ni mji wa Afrika Kusini katika jimbo la Rasi ya Mashariki.

Tangu Februari 2021, jina la Gqeberha, kutoka lugha ya Kixhosa la mji wa Walmer, limerasimishwa na serikali ya Afrika Kusini kutaja jiji la Port Elizabeth.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Port Elizabeth kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.