Kixhosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kixhosa ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waxhosa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kixhosa nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 7,790,000. Pia kuna wasemaji nchini Botswana na Lesotho. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kixhosa iko katika kundi la S40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kixhosa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.