Bertrand Russell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bertrand Russell

Bertrand Russell (18 Mei 18722 Februari 1970) alikuwa mwanafalsafa kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika kuhusu mantiki ya hisabati. Pia alifanya makampeni kwa ajili ya amani ya mataifa. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bertrand Russell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.