Nenda kwa yaliyomo

Melody

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Melody

Melody mwaka 2022.
Amezaliwa Gabriella de Abreu Severino
São Paulo
Kazi yake mwigizaji na mwimbaji wa Brazili.

Melody (jina asili: Gabriella de Abreu Severino; amezaliwa São Paulo) ni mwigizaji na mwimbaji wa Brazili.

Mnamo 2022 Melody alikuwa msanii mchanga zaidi Amerika Kusini kufikia safu ya 200 bora ya Spotify kwa wimbo "Pipoco".

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melody kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.