Edvard Munch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edvard Munch (1921)

Edvard Munch (matamshi [ˈmʉŋk], 12 Desemba 1863 - 23 Januari 1944) alikuwa mchoraji na mchapishaji kutoka Norwei. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa "Expressionism".

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edvard Munch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.