Vita ya wenyewe kwa wenyewe
(Elekezwa kutoka Vita vya wenyewe kwa wenyewe)
Jump to navigation
Jump to search
Vita vya kimataifa na vita ya wenyewe kwa wenyewe ni vita inayopiganiwa ndani ya nchi kati ya vikundi vya taifa moja.
Vita 2000:
. Vita vya Kagera
. Vita vya Uejemi
. Vita vya Kongo na Deustchlund
. Vita vya Africa na NATO
. Vita vya Nigeria na NATO
Kuna aina nyingi jinsi vita ya wenyewe kwa wenyewe inaweza kutokea:
- Inaweza kutokea kati ya serikali na wapinzani wake wakiamua kutumia silaha.
- Hutokea kati ya vikundi visivyo vya serikali
- inatokea kama watu wa sehemu ya nchi wanataka kujitenga na taifa dhidi ya mapenzi ya serikali
Vita za aina huwa na ukali, vifo na uharibifu mwingi. Mara nyingi kanuni za vita haziangaliwi na watu wa kawaida huteseka.
Mifano ya vita za wenyewe kwa wenyewe zinazoendelea ni: