Nenda kwa yaliyomo

Pablo Neruda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pablo Neruda (mwaka wa 1966)
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Pablo Neruda (12 Julai 190423 Septemba 1973) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya Chile. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Neftalí Ricardo Reyes Basoalto. Alikuwa balozi wa nchi yake katika nchi mbalimbali za Asia, Ulaya na Amerika ya Kusini. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pablo Neruda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.