Milenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Milenia ni kipindi cha miaka elfu moja.

Hii ni sawa na kusema milenia ina karne 10.

Kwa sasa tuko katika milenia ya pili BK iliyoanza tar. 1 Januari 2001. Lakini watu wengi walisheherekea tar. 1 Januari 2000 ingawa mwaka 2000 ilikuwa mwaka wa mwisho wa karne na milenia iliyotangulia.

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Milenia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.