Mhanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mhanga
Mhanga
Mhanga
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Ngeli ya chini: Placentalia (Wanyama wenye mji)
Oda: Tubulidentata (Wanyama wenye meno yenye mifereji ndani yao)
Familia: Orycteropodidae (Wanyama walio na mnasaba na mhanga)
Jenasi: Orycteropus
Linnaeus, 1758
Spishi: O. afer
Linnaeus, 1758
Uenezi wa mhanga
Uenezi wa mhanga

Mhanga (pia muhanga, fundi-mchanga, kiharara, kukukifuku au loma; jina la kisayansi: Orycteropus afer) ni mnyama wa Afrika aliye spishi pekee ya oda Tubulidentata ambayo inaishi hadi sasa.

Wanatokea pande nyingi za Afrika kusini kwa Sahara. Wahanga hula sisimizi na mchwa.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mhanga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.