Mchwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mchwa
Mchwa wafanya kazi na askari
Mchwa wafanya kazi na askari
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Blattodea
Oda ya chini: Isoptera (Wadudu ambao mabawa yao yote ni sawa)
Ngazi za chini

Familia 10:

 • †Archeorhinotermitidae
 • Archotermopsidae
 • †Cratomastotermitidae
 • Hodotermitidae
 • Kalotermitidae
 • Mastotermitidae
 • Rhinotermitidae
 • Serritermitidae
 • Stolotermitidae
 • Stylotermitidae
 • Termitidae
 • Termopsidae

Mchwa ni wadudu wadogo wa oda ya chini Isoptera katika oda Blattodea wanaoishi kwa makoloni makubwa katika vichuguu. Takriban spishi zote hula ubao.

Kila koloni lina malkia, mfalme, askari na wafanyakazi. Askari na wafanyakazi hawana mabawa lakini malkia na mfalme waliwahi kuwa na mabawa walipokuwa vijana. Mfalme anamtia malkia mimba na huyu anazaa mayai mengi sana. Askari wanalinda kichuguu na wafanyakazi wanafanya kazi nyingine zote.

Mara kwa mara wafanyakazi wanawapatia majana kadhaa chakula fulani ili wawe wadudu wanaoweza kuzaa. Wadudu hawa wana mabawa na huitwa kumbikumbi.

Spishi kadhaa za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mchwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.