Kitunguu saumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kitunguu saumu
(Allium sativum)
Mimea ya kitunguu saumu
Mimea ya kitunguu saumu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama manyasi)
Familia: Alliaceae (Mimea iliyo mnasaba na manyasi)
Jenasi: Allium
L.
Spishi: A. sativum
L.

Kitunguu saumu au kitunguu thumu (Allium sativum) ni aina ya tunguu la kulika ambalo hupandwa katika mahali pengi duniani. Hata kama “sativum” inamaanisha “ya pori”, mimea ya spishi hii ambayo inamea porini inatokana mashamba na bustani. Jamaa yake ya pori ni A. longicuspis. Matunguu ya saumu hayako chini ya ardhi tu; mengine humea juu ya shina.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitunguu saumu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.