Nenda kwa yaliyomo

Arubaini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Arobaini)

Arubaini au arobaini (kutoka neno la Kiarabu أربعون) ni namba inayoandikwa 40 kwa tarakimu za kawaida na XL kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 39 na kutangulia 41.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 5.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arubaini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.