Orhan Pamuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Orhan Pamuk
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Ferit Orhan Pamuk (amezaliwa 7 Juni 1952) ni mwandishi kutoka nchi ya Uturuki. Katika hadithi zake anajaribu kuunganisha riwaya ya Ulaya ya kisasa na mapokezi ya nchi za Mashariki. Mwaka wa 2006 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orhan Pamuk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.