Jozi (tunda)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jozi iliyofunguliwa

Jozi, koko au kokwa ni mbegu kavu za mimea kadhaa zinazoliwa kama chakula cha kibinadamu. Kibotania mbegu huitwa jozi kama tunda lina mbegu moja tu (mbili kwa nadra) ndani yake na ganda linalozunguka mbegu yenyewe linakauka kuwa ngumu kama ubao.

Jozi ni chakula bora yenye mafuta na protini ndani yake pamoja na vitamini mbalimbali.

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jozi (tunda) kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]