Kibulgaria
Mandhari
Kibulgaria (kwa Kibulgaria: български език, bălgarski ezik [ˈbɤ̞lgɐrski ɛˈzik]) ni moja kati ya Lugha za Kihindi-Kiulaya kinachozungumzwa zaidi katika nchi ya Bulgaria.
Kibulgaria ni moja katika Muungano wa Lugha za Balkan, ambao unajumlisha Kigiriki, Kimasedonia, Kiromania, Kialbania na Kitorlakia ambacho kina lafudhi ya lugha ya Kiserbia. Kibulgaria kinafanana kabisa na Kimasedonia na Kiserbia, ambavyo vyote vina asili moja ya Slavoni - Kibulgaria.
Wanaoongea Kibulgaria ni watu milioni 9 hivi.
Alfabeti yake ni kama ifuatavyo:
А а [a] |
Б б [b] |
В в [v] |
Г г [g] |
Д д [d] |
Е е [ɛ] |
Ж ж [ʒ] |
З з [z] |
И и [i] |
Й й [j] |
К к [k] |
Л л [l] |
М м [m] |
Н н [n] |
О о [ɔ] |
П п [p] |
Р р [r] |
С с [s] |
Т т [t] |
У у [u] |
Ф ф [f] |
Х х [x] |
Ц ц [ʦ] |
Ч ч [ʧ] |
Ш ш [ʃ] |
Щ щ [ʃt] |
Ъ ъ [ɤ̞], [ə] |
Ь ь [◌ʲ] |
Ю ю [ju] |
Я я [ja] |
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Jifunze Kibulgaria
[hariri | hariri chanzo]- Bulgarian Language Online Course from easybulgarian.com
- Basic Bulgarian exercises and a free online resource; a forum to talk to other learners of Bulgarian
- Thematic Bulgarian vocabulary, keyboard
Taarifa za kiisimu
[hariri | hariri chanzo]- makala za OLAC kuhusu Kibulgaria Ilihifadhiwa 14 Januari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibulgaria katika Glottolog
- Ethnologue report for Bulgarian
- Bulgarian at Omniglot
Kamusi
[hariri | hariri chanzo]- Bulgarian-English-Bulgarian Online dictionary Ilihifadhiwa 7 Juni 2013 kwenye Wayback Machine. from SA Dictionary Ilihifadhiwa 15 Mei 2013 kwenye Wayback Machine.
- Online Dual English-Bulgarian dictionary Ilihifadhiwa 29 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Online automatic translation between English, French, Spanish and Bulgarian Ilihifadhiwa 23 Mei 2013 kwenye Wayback Machine.
- Bulgarian Dictionary Ilihifadhiwa 4 Aprili 2004 kwenye Wayback Machine.: from Webster’s Dictionary Ilihifadhiwa 23 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
- Bulgarian bilingual dictionaries
- Small English-Bulgarian audio dictionary Ilihifadhiwa 21 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
- Nyinginezo
- Free learn the language booklet FREE PDF Booklet with Bulgarian words and phrases by Bulgaria Info-Online Magazine
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibulgaria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |