Lafudhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lafudhi ni namna ya pekee ya kutamka lugha kutokana na lugha ya mwanzo/awali ya mzungumzaji au eneo alipojifunza lugha.

Mara nyingi watu wanaweza kusikia kutokana na matamshi kama msemaji ni mgeni kutoka nchi fulani au kama anatokea mji fulani kama ni mwenyeji.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lafudhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.