Michael Schumacher

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Michael kushinda magari ya Formula 3 mwaka 1990.

Michael Schumacher (amezaliwa Hürth-Hermülheim, Ujerumani, 3 Januari 1969) ni dereva wa Formula 1 kutoka Kerpena katika Porajnju.

Ni dereva wa wakati wote aliyepata mafanikio zaidi katika Formula 1.

Schumacher mwaka wa 1991.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Schumacher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.