Jack Nicholson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Nicholson
Jack Nicholson - 1976 (new).jpg
Jack Nicholson mnamo 1976
Amezaliwa John Joseph Nicholson
22 Aprili 1937 (1937-04-22) (umri 85)
Neptune City, New Jersey, Marekani
Ndoa Sandra Knight (1962-1968) (kamwacha) mtoto 1

Jack Nicholson (amezaliwa tar. 22 Aprili 1937 mjini Neptune, New Jersey) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Awali alianza kama mtunzi na mshiriki wa kujiegesha. Ameanza kuwa nyota mnamo 1969 pale alipotua na katika kijisehemu kidogo cha katika filamu ya Easy Rider.

Miongoni mwa filamu zake nyingine ni pamoja na Five Easy Pieces (1970), Carnal Knowledge (1971), Tommy (1975), One Flew Over the Cuckoo's Nest (1975), The Shining (1980), Batman (1989), Mars Attacks (1996), As Good as it Gets (1997), About Schmidt (2002), na Anger Management (2003).

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Nicholson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.