Kitagalog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitagalog ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Watagalog. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitagalog iko katika kundi la Kifilipino.

Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kitagalog nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu milioni 22.5. Pia, kuna wasemaji 1,600,000 nchini Marekani (2013), walau 500,000 Saudia, 384,000 nchini Kanada (2011) n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitagalog kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.