Nenda kwa yaliyomo

Kikorea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikorea (kwa Kikorea: 한국어, Hangeul; 한국말, Hangukmal; 조선말, Chosŏnmal) ni lugha ya Korea Kusini na Korea Kaskazini.

Kikorea Alfabeti ya Kilatin Kiswahili
안녕하십니까 Annyeong hashimnikka Habari ya asubuhi!
안녕하세요! An-yŏng-ha-se-yo! Hujambo!
어떻게 지내세요? Eotteohke jinaeseyo? Habari yako?
Ne Ndiyo
아니요 Aniyo Hapana
성함이 어떻게 되십니까? Sungham ee uttoke daesipnika Jina lako ni nani?
어디서 오셨어요? Eodiseo osyeosseoyo? Unatoka wapi?
영어를 할수 있어요? Yeongeorul malsum halsu isseoyo? Unazungumza kiingereza?
감사합니다 Kamsahamnida Asante
il moja
ee mbili
sam tatu
sa nne
o tano
yuk sita
chil saba
pal nane
gu tisa
ship kumi

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorea kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.