Tangawizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unga wa tangawizi.

Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger) ni mzizi wa mtangawizi.

Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula.

Tangawizi kama dawa[hariri | hariri chanzo]

Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tangawizi inaweza kusaidia katika matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika[1].

Tangawizi inatazamiwa kupunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na homa ya baridi yabisi (arthritis),[2].

Athira zisizothibitishwa[hariri | hariri chanzo]

Katika elimu ya tiba ya kale tangawizi ilitazamiwa kuwa na tabia nyingi za kujenga afya, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi:

Imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kitiba:

Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo huua vimelea mbalimbali vya magonjwa pamoja na mayai yake,

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Effects of ginger on motion sickness and gastric slow-wave dysrhythmias induced by circular vection.
  2. JK. Kim, Y. Kim, KM. Na, YJ. Surh, TY. Kim: [6-Gingerol prevents UVB-induced ROS production and COX-2 expression in vitro and in vivo]. In: Free Radic Res. 2007, 41 (5), pp. 603–614
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tangawizi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.