Allah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Allah ni neno la Kiarabu linalorejea Mungu.

Hasa linatumika katika dini ya Uislamu, lakini pia Wakristo Waarabu na wa nchi nyingine (kama vile Malaysia) wanamwita Mungu "Allah". Mungu aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyopo hana mshirika na ndiye anayepaswa kuabudiwa kwa haki na mtume Muhamad(amani iwe juu yake) ni mjumbe wake.