Larry Page
Mandhari
Lawrence "Larry" Page (alizaliwa East Lansing, Michigan, 26 Machi 1973) ni mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani.
Yeye ni afisa mkuu na mtendaji mkuu wa Google.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Larry Page kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |