Ingmar Bergman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ingmar Bergman

Ingmar Bergman (14 Julai 191830 Julai 2007) alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Kiswidi. Yasemekana kwamba Bergman ndiye mwanzilishi na mjuzi zaidi wa kutengeneza filamu za kisasa.

Watengenezaji wengi wa filamu duniani wamekiri kwamba kazi zao zimeathiriwa na kazi za huyu bwana Bergman, baadhi yao Wamarekani Woody Allen na Robert Altman, mwongozaji filamu wa Urusi Andrei Tarkovsky na mwongozaji filamu wa Kijapani Akira Kurosawa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


WikiMedia Commons


Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ingmar Bergman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.