Lugha za Kieskimo-Kialeuti
Mandhari
Lugha za Kieskimo-Kialeuti ni kundi la lugha zinazotumiwa hasa Greenland, Kanada Kaskazini, Marekani Kaskazini na Urusi Mashariki.
Ni lugha ambishi bainishi kama Kiswahili.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kieskimo-Kialeuti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |