Algorithm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Algorithm au (algorithimu kwa kiswahili) ni njia ya kutatua kwa hatua chache magumu katika hisabati. Njia hiyo inaweza kufanya hesabu na usindikaji wa data.

Jina linatokana na mwanahisabati wa Uajemi al-Khwarizmi aliyetoa maelekezo ya kwanza ya namna hiyo katika karne ya 9 BK.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Algorithm kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.