Thukidides

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Thucydides)
Nusu sanamu ya Thukidides katika Jumba la kumbukumbu la Royal Ontario, Toronto, Kanada (kopi ya Kiroma ya sanamu asilia ya Kigiriki).

Thukydides (kwa Kigiriki Θουκυδίδης, Thukudídēs; alizaliwa mnamo mwaka 460 KK - aliaga dunia mnamo mwaka 400 KK) alikuwa kiongozi wa kijeshi na mwanahistoria wa Ugiriki ya Kale kutoka Athini anayekumbukwa hasa kwa maandishi yake kuhusu Vita ya Peloponesi (431 KK hadi 404 KK) kati ya Athini na Sparta.

Alikuwa mtoto wa Olorus. [1]

Aliitwa "baba wa historia ya kitaalamu" kwa jitihada zake za kukusanya habari kutoka vyanzo vingi na kusimulia historia bila msimamo wa upande mmoja.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Robinson Jr., C.A. (May 1964). "Introduction". Selections from Greek and Roman historians. Holt, Rinehart and Winston. pp. xiv. 

Kusoma zaidi[hariri | hariri chanzo]

  • Herodotus, <i id="mwIg">Historia</i>, AD Godley (mtafsiri), Cambridge: Harvard University Press (1920). ISBN 0-674-99133-8 .
  • Pausanias, Maelezo ya Ugiriki, Vitabu I-II, ( Loeb Classical Library ) iliyotafsiriwa na WHS Jones; Cambridge, Massachusetts: Chuo Kikuu cha Harvard Press; London, William Heinemann Ltd. (1918). ISBN 0-674-99104-4 . .
  • Plutarch, <i id="mwMw">Maisha</i>, Bernadotte Perrin (mtafsiri), Cambridge, MA. Chuo Kikuu cha Harvard Press. London. William Heinemann Ltd. (1914). ISBN 0-674-99053-6 .
  • Thucydides, Vita vya Peloponnesia . London, JM Dent; New York, EP Dutton (1910). .

Tovuti nyingine[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thukidides kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.