Historia ya Lithuania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vilnius, mji mkuu wa Lithuania.

Historia ya Lithuania inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Lithuania.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Kuanzia karne ya 13 Lithuania ilikuwa nchi huru na imara iliyoteka maeneo mengi; kufikia karne ya 15, ikiwa pamoja na Polandi, ilikuwa kubwa kuliko nchi zote za Ulaya.

Mwaka 1795 nchi hizo mbili zilifutwa, na Lithuania ikawa sehemu ya Dola la Urusi.

Mwaka 1918, ikawa tena nchi huru, lakini mwaka 1940 Warusi waliiteka tena.

Miaka 1940 - 1990 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Lithuania ilijitangaza nchi huru.

Lithuania imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Eidintas, Alfonsas; Bumblauskas, Alfredas; Kulakauskas, Antanas; Tamošaitis, Mindaugas (2013). The History of Lithuania. Eugrimas. ISBN 978-609-437-204-9. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-15. Iliwekwa mnamo 2016-04-20. 
 • Ališauskiene, Milda, and Ingo W. Schröder, eds. Religious Diversity in Post-Soviet Society: Ethnographies of Catholic Hegemony & the New Pluralism in Lithuania (2011)
 • Backus III, Oswald P. "The Problem of Feudalism in Lithuania, 1506-1548," Slavic Review (1962) 21#4 pp. 639–659 in JSTOR
 • Budreckis, Algirdas M. An introduction to the history of Lithuania (1985)
 • Friedrich, Karin, and Barbara M. Pendzich, eds. Citizenship and Identity in a Multinational Commonwealth: Poland-Lithuania in Context, 1550-1772 (2011)
 • Gimius, Kestutis K. "The Collectivization of Lithuanian Agriculture, 1944-50," Soviet Studies (1988) 40#3 pp. 460–478.
 • Kiaupa, Zigmantas. The History of Lithuania (2005)
 • Kirby David G. The Baltic World 1772-1993 (Longman, 1995).
 • Kuncevicius, Albinas et al. The History of Lithuania Before 1795 (2000)
 • Lane, Thomas. Lithuania: Stepping Westward (2001); 20th century history esp. post 1991 online
 • Liekis, Sarunas. 1939: The Year that Changed Everything in Lithuania's History (2009)
 • Lieven Anatol. The Baltic Revolution (2nd ed. 1994). against the USSR
 • Lukowski, Jerzy; Zawadzki, Hubert (2001). A Concise History of Poland. Cambridge Concise Histories. Cambridge University Press. ISBN 9780521559171. 
 • Misiunas Romuald J. The Baltic States: Years of Dependence, 1940-1990 (2nd ed. 1993).
 • Ochmański, Jerzy (1982). Historia Litwy [The History of Lithuania] (kwa Kipolandi) (toleo la 2nd). Zakład Narodowy im. Ossolińskich. ISBN 9788304008861. 
 • Snyder, Timothy (2003). The Reconstruction of Nations: Poland, Ukraine, Lithuania, Belarus, 1569-1999. Yale University Press. ISBN 9780300105865. 
 • Stone, Daniel. The Polish–Lithuanian state: 1386–1795 (University of Washington Press, 2001)
 • Suziedelis, Saulius. The Sword and the Cross: A History of the Church in Lithuania (1988)
 • Thaden Edward C. Russia's Western Borderlands, 1710-1870 (Princeton University Press, 1984).

Historiografia[hariri | hariri chanzo]

 • Krapauskas, Virgil. "Recent Trends in Lithuanian Historiography" Lituanus (2010) 56#4 pp 5–28.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Lithuania kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.