Historia ya Moldova

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Moldova inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Moldova.

Kwa kiasi kikubwa historia ya Moldova inahusiana na ile ya Romania kwa kuwa ni taifa moja kwa utamaduni, lugha na dini.

Baada ya vita vikuu vya kwanza Moldova ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti kwa jina la Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimoldova hadi ilipopata uhuru wake tarehe 27 Agosti 1991.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Moldova kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.