Historia ya Georgia (nchi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Georgia inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Georgia.

Georgia ilikuwa sehemu ya Umoja wa Kisovyeti lakini imekuwa nchi huru tangu 1991.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Georgia (nchi) kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.