Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Israel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Israel inahusu eneo ambalo leo linaunda nchi ya Israeli.

Nchi ya kisasa ilianzishwa tarehe 14 Mei 1948 lakini nyuma kuna historia ndefu, ambayo kwa sehemu muhimu inasimulia na Biblia kama kiini cha historia ya wokovu.

Mji mkuu umekuwa Yerusalemu tangu mwaka 1950 lakini nchi nyingi hazikubali kuwa hivyo kwa sababu hali yake kadiri ya Sheria ya kimataifa haieleweki.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Israel kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.