Historia ya Malaysia
Historia ya Malaysia inahusu eneo ambalo leo linaunda shirikisho la Malaysia.
Nchi ilianzishwa mwaka 1963 wakati Shirikisho la Kimalay (kwa Kimalay: Persekutuan Tanah Melayu) liliungana na Singapur, Sabah na Sarawak ambazo awali zilikuwa chini ya Uingereza.
Hata hivyo Singapur iliondoka mwaka 1965 ikawa nchi ya pekee.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Malaysia kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |