Historia ya Mongolia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Mongolia inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Mongolia.

Miaka 800 iliyopita nchi hii ilikuwa chanzo cha moja kati ya milki kubwa kabisa katika historia yote ya binadamu, wakati ambako Chingis Khan alipounda Milki ya Wamongolia iliyoenea kuanzia China hadi Mashariki ya Kati na Ulaya.

Hadi mwaka 1992 nchi iliitwa Jamhuri ya Watu wa Mongolia na kufuata sera za ukomunisti.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Mongolia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.