Historia ya Misri
Historia ya Misri inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Misri.
Nchi hiyo ni kati ya vitovu vya ustaarabu wa binadamu, na kwa sababu hiyo inavutia watalii wengi.
Historia ya Misri inaweza kugawiwa katika vipindi vifuatavyo:
- Misri ya Kale
- Kipindi cha nasaba za kale za Misri karne ya 31 hadi 27 KK
- Ufalme mkongwe wa Misri karne ya 27 hadi 22 KK
- Kipindi cha kwanza cha kati karne ya 22 hadi 21 KK
- Ufalme wa kati wa Misri karne ya 21 hadi 17 KK
- Kipindi cha kati mwaka 1640-1570 KK hivi
- Ufalme mpya wa Misri mwaka 1570-1070 KK
- Kipindi cha tatu cha kati na mwaka 1070-664 KK
- Mwishoni mwa kipindi cha Misri ya kale
- Nasaba ya ishirini na saba ya Misri mwaka 664-525 KK
- Akemenidi ya Misri mwaka 525-332 KK
- Misri ya Ugiriki na Roma
- Misri ya Ptolemi 332-30 KK
- Misri ya Rumi mwaka 30 KK hadi 395 BK
- Misri ya Bizantaini mwaka 395-645
- Misri ya Uislamu
- Misri ya Uarabu 639-1250
- Misri ya Mamuluki mwaka 1250-1517
- Misri ya Otomani mwaka 1517-1805
- Misri ya kisasa
- Misri chini ya utawala wa nasaba ya Muhammad Ali mwaka 1805-1882
- Misri ya Kisasa tangu mwaka 1882
Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]
|
|
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Misri kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |