Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Gabon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Gabon inahusu eneo la Afrika ya Kati ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Gabon.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Baada ya uhuru[hariri | hariri chanzo]

Rais Omar Bongo Ondimba wa Gabon (kushoto) akiwa Washington, USA.

Jamhuri ya Gabon, kutoka kushinda uhuru kutoka ukoloni wa Ufaransa tarehe 17 Agosti 1960, imeongozwa na Rais watatu, Léon M'ba, El Hadj Omar Bongo ambaye amekuwa kiongozi kutoka mwaka wa 1967 hadi kifo chake (2009: ndiye aliyekuwa kiongozi barani Afrika aliyeshikilia uongozi kwa muda mrefu zaidi), halafu mwanae Ali.

Nyumba ya baraza, Libreville

Mwaka wa 1990 Gabon ilianza demokrasia ya vyama vingi na katiba ya kidemokrasia ambayo inaruhusu ukweli wa uchaguzi na utekelezaji wa idara za serikali.

Mnamo Mei 11, 2021, ujumbe wa Jumuiya ya Madola ulisafiri kwenda Gabon wakati Ali Bongo alipotembelea London kukutana na katibu mkuu wa shirika hilo, ambalo linakusanya nchi 54 zinazozungumza Kiingereza.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Gabon kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.