Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Guinea-Bissau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Guinea-Bissau inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Guinea-Bissau.

Nchi hii ilipata uhuru wake kutoka kwa Wareno mnamo Septemba 10, 1974, na Marekani iliutambua kuanzia siku hiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Guinea-Bissau kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.