Nenda kwa yaliyomo

Historia ya Cabo Verde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Cabo Verde inahusu funguvisiwa vya Bahari ya Atlantiki mkabala wa Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Cabo Verde.

Hadi kufika kwa Wareno katika karne ya 15 funguvisiwa vya Cabo Verde havikuwa na watu.

Wareno walianzisha mashamba ya miwa na kuleta watumwa kutoka bara la Afrika.

Cabo Verde ilikuwa pia kituo muhimu cha biashara ya watumwa kati ya Afrika na Amerika.

Wahamiaji kutoka Ulaya walikuwa pia Wahispania, Waitalia pamoja na Wayahudi na Waislamu waliokataliwa kukaa kwao Ureno.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Cabo Verde kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.