Historia ya Senegal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya Senegal inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Senegal.

Kwa wakati na kiasi tofauti eneo la Senegal lilikuwa sehemu ya Dola la Ghana, ya Dola la Mali na hatimaye ya Dola la Songhai

Baadaye lilikuwa koloni la Ufaransa hadi mwaka 1960.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Historia ya Senegal kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.